Mateso Saba ya Maria ni Sala ya Rosari ya Mama Bikira Maria Mama wa Kanisa. Sala hii imeandaliwa na Bruda Douglas Simonetti wa Shirika la Neno La Mungu (SVD), ambaye ni Mkurugenzi wa Bibilia katika Jimbo letu la Kenya-Tanzania.
Unaweza kupata Sala hii hapa