JUMAPILI YA 3 MWAKA C Maana ya Sheria

Sheria katika jamii ina kazi nyingi. Nne kati ya hizi ni muhimu sana. Kuweka vipimo (Establishing Standards) Kudumisha mpangilio na taratibu (Maintaining order) Kutatua migogoro (Resolving disputes) Kulinda haki na uhuru (Protecting liberties and rights). Kila mtu akishika sheria, jamii itakuwa na amani na maendeleo. Watu wakikiuka sheria lazima kutakuwa na mafarakano na shida nyingi. Mwana falsafa Aristotle alisema kwamba mwanadamu ni mnyama mwanasiasa. Maana yake ni kwamba mwanadamu anaishi na kujitambua katika polis, yaani kati ya wanadamu wengine. Lakini pia Mwanafalsafa Thomas Hobbes alisema kwamba, mwanadamu anajitambua kama sawa na mwenzake na kuwa na haki sawa kwa kila kitu. … Continue reading JUMAPILI YA 3 MWAKA C Maana ya Sheria