Mwenyeheri Gregorius Frackowiak, SVD.

Watakatifu ni watu ambao waliishi maisha yao kwa kutenda matendo ya kawaida kwa njia isiyo ya kawaida. Maisha yao na mafunzo yao yanavutia wengine kuiga mwenendo wao. Watakatifu wana uhusiano wa karibu sana na wafia dini,¬† ambao ni watu ¬†waliotoa maisha yao hadi kufa kwa ajili ya kutetea Imani katika Dini zao. Hawa hujitolea kuteseka hadi kufa kwa kushuhudia imani yao. Mfano mzuri ni ule wa Mwenye Heri Gregorious Frackowiak ambaye alizaliwa katika familia ya watoto kumi na wawili, katika kijiji cha Boleslaw Frackowiak katika Mji wa Lowecice karibu na Poznan. Wazazi wake walimlea katika mazingira ya kikristu. Alijiunga na … Continue reading Mwenyeheri Gregorius Frackowiak, SVD.