4th Sunday Ordinary Time Year C

Reading I: Jeremiah 1:4-5, 17-19; Responsorial Psalm: 71:1-2, 3-4, 5-6, 15-17; Reading II: 1 Corinthians 12:31-13:13 or 13:4-13; Gospel: Luke 4:21-30 My dear friends in Christ, the first reading from the book of the Prophet Jeremiah, talks about the fear Jeremiah had to take up the prophet mission. This is because he had experience the hard … Continue reading 4th Sunday Ordinary Time Year C

JUMAPILI YA 4 MWAKA C

  Somo I: Jeremia 1:4-5, 17-19;  Wimbo wa Katikati:   Zaburi 71:1-2, 3-4, 5-6, 15-17; Somo 2: Wakorintho 12:31-13:13 or 13:4-13;  Injili: Luka 4:21-30 Upendo wa Kweli ni upi? Tumsifu Yesu Kristo. Katika Somo la Kwanza kutoka kitabu cha Nabii Yeremia 1:4-5,17-19, tunasikia jinsi Yeremia aliogopa kupokea kazi ya unabii kwa sababu alijua ugumu wa mioyo ya … Continue reading JUMAPILI YA 4 MWAKA C

JUMAPILI YA 3 MWAKA C Maana ya Sheria

Sheria katika jamii ina kazi nyingi. Nne kati ya hizi ni muhimu sana. Kuweka vipimo (Establishing Standards) Kudumisha mpangilio na taratibu (Maintaining order) Kutatua migogoro (Resolving disputes) Kulinda haki na uhuru (Protecting liberties and rights). Kila mtu akishika sheria, jamii itakuwa na amani na maendeleo. Watu wakikiuka sheria lazima kutakuwa na mafarakano na shida nyingi. … Continue reading JUMAPILI YA 3 MWAKA C Maana ya Sheria

The Mysteries of Joy By Evans Koech

THE ANNUNCIATIONWhat Joy it Brings? With the wings He appeared, He comes the good news. Though weird it appears, Salvation of the World is what it bears, Gabriel comes with Annunciation. With a leap on her womb, Even the unexpected get amazed. Unlike the unbelieving groom, in her heart happiness blooms, Elizabeth receives the scoop.With the hustle of … Continue reading The Mysteries of Joy By Evans Koech