When I Joined the Society of the Divine I was fascinated by the Bible chart I found on the wall Of the then Soweto parish house, that later became formation house for the aspirants. This was the version made in Ghana and I can say I learnt quite a number of things from it. This … Continue reading Presenting the Bible Chart in Kiswahili.
Author: jambokentan
4th Sunday Ordinary Time Year C
Reading I: Jeremiah 1:4-5, 17-19; Responsorial Psalm: 71:1-2, 3-4, 5-6, 15-17; Reading II: 1 Corinthians 12:31-13:13 or 13:4-13; Gospel: Luke 4:21-30 My dear friends in Christ, the first reading from the book of the Prophet Jeremiah, talks about the fear Jeremiah had to take up the prophet mission. This is because he had experience the hard … Continue reading 4th Sunday Ordinary Time Year C
JUMAPILI YA 4 MWAKA C
Somo I: Jeremia 1:4-5, 17-19; Wimbo wa Katikati: Zaburi 71:1-2, 3-4, 5-6, 15-17; Somo 2: Wakorintho 12:31-13:13 or 13:4-13; Injili: Luka 4:21-30 Upendo wa Kweli ni upi? Tumsifu Yesu Kristo. Katika Somo la Kwanza kutoka kitabu cha Nabii Yeremia 1:4-5,17-19, tunasikia jinsi Yeremia aliogopa kupokea kazi ya unabii kwa sababu alijua ugumu wa mioyo ya … Continue reading JUMAPILI YA 4 MWAKA C
JUMAPILI YA 3 MWAKA C Maana ya Sheria
Sheria katika jamii ina kazi nyingi. Nne kati ya hizi ni muhimu sana. Kuweka vipimo (Establishing Standards) Kudumisha mpangilio na taratibu (Maintaining order) Kutatua migogoro (Resolving disputes) Kulinda haki na uhuru (Protecting liberties and rights). Kila mtu akishika sheria, jamii itakuwa na amani na maendeleo. Watu wakikiuka sheria lazima kutakuwa na mafarakano na shida nyingi. … Continue reading JUMAPILI YA 3 MWAKA C Maana ya Sheria
Celebrating Sts. Arnold and Freinademetz
This week the SVD Family in Kenya - Tanzania Province gathered in the Common Formation Centre in Langata, Nairobi , to celebrate the life, mission and Sainthood of the two great men, who formed the foundations of the Congregation of the Divine Word Missionaries: Sts. Arnold Janssen and Joseph Freinademetz. The first day the celebration … Continue reading Celebrating Sts. Arnold and Freinademetz
