Masomo ya Jumapili kwa ufupi Pasaka 6 B

Matendo ya Mitume 10:25-48; Zaburi 98; 1 Yohana 4:7-10; Yohana 15:9-17 Lugha Ambayo Kila Mtu Uelewa ni Upendo Wapendwa, leo ni Jumapili ya sita ya Pasaka na Jumapili ijayo itakuwa sherehe ya Kupaa kwa Bwana wetu. Hivi karibuni kipindi cha Pasaka kitamalizika. Natumaini kwamba umepata faida ya kutosha kutoka kwa kipindi hiki cha liturujia. Katika … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa ufupi Pasaka 6 B