Matendo 2:1-11; Zaburi 104; Wagalatia 5:16-25; Yohana 15:16-27, 16:12-15 Roho Mtakatifu ni Nani? oplus_2 Wapendwa, leo ni Sikukuu ya Pentekoste. "Pentekoste" ni neno la Kigiriki linalomaanisha "hamsini." Kwa hiyo, Pentekoste ni siku ya hamsini na ya mwisho ya Kipindi cha Pasaka. Katika sikukuu hii, Wakristo huadhimisha Ujio wa Roho Mtakatifu juu ya wanafunzi wa Yesu … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi, Pentekoste B
Author: jambokentan
My Vocation my Responsibility
my-vocation-my-responsibilityDownload
Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Shereh ya Kupaa kwa Bwana B
Matendo ya Mitume 1:1-11; Zaburi 47; Waefeso 4:1-13; Marko 16:15-20 Hubiri kwa viumbe vyote! Wapendwa, leo ni Siku Kuu ya Kupaa kwa Bwana wetu mbinguni. Siku kuu hii husherehekewa siku ya arobaini baada ya ufufuko ambayo uangukia Alhamisi kabla ya Jumapili ya saba ya Pasaka. Katika baadhi ya nchi, siku kuu hii huadhimishwa Alhamisi yenyewe. … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Shereh ya Kupaa kwa Bwana B
Sunday Readings in Brief: Ascension B
Acts 1:1-11; Ps 47; Eph 4:1-13; Mk 16:15-20 Preach to all Creation! Dear friends, today is the feast of the ascension of our Lord. This feast is marked on the fortieth day after the resurrection which falls on the Thursday before the seventh Sunday of Easter. In some countries, this feast is celebrated on Thursday itself. However, given the significance of the … Continue reading Sunday Readings in Brief: Ascension B
Sunday readings in brief 6 Easter B
Acts 10:25-48; Ps 98; 1 Jn 4:7-10; Jn 15:9-17 The Language that Everyone Understands is Love Dear friends, today is the sixth Sunday of Easter and next Sunday will be the feast of the Ascension of our Lord. Soon the Easter season will be over. I hope that you have profited enough from this liturgical … Continue reading Sunday readings in brief 6 Easter B
