1 Wafalme 19:4-8; Zaburi 34; Waefeso 4:30-5:2; Yohana 6:41-51 Lishe ya Mwili na Roho Wapendwa, leo ni Jumapili ya 19 ya Kipindi cha Mwaka wa Kanisa. Yesu anaendelea na mazungumzo yake na umati kuhusu mkate wa uzima. Yesu hatulishi kwa neno la uzima tu, bali leo anatoa pia mwili wake kama mkate wa uzima. Kama … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Ufupi 19 B
Author: jambokentan
Sunday readings in brief 19 B
1 Kgs 19:4-8; Psalms 34; Ephesians 4:30-5:2; John 6:41-51 Feeding Body and Soul My dear friends, today is the 19th Sunday of ordinary time. Jesus continues his discourse with the crowds about the living bread. He is not only offering us the Word of life but today he is giving his body as living bread. … Continue reading Sunday readings in brief 19 B
Masomo ya Jumapili kwa kifupi 18 B
oplus_0 Kutoka 16:2-4, 12-15; Zaburi 78; Waefeso 4:17, 20-24; Yohana 6:24-35 Vitu vya Kufa na vya Kudumu Wapendwa, leo ni Jumapili ya 18 ya Kipindi cha Mwaka B. Leo, Yesu anazungumza nasi kuhusu vitu vya kufa na vya kudumu. Mambo mengi tunavyojua kupitia hisia zetu za kimwili ni vya kufa, kumaanisha kuwa vina muda maalum … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa kifupi 18 B
Sunday readings in brief 18 B
oplus_0 Exodus 16:2-4.12-15; Psalms 78; Eph 4:17, 20-24; John 6:24-35 Perishable vs Imperishable Dear friends, today is the 18th Sunday of the Ordinary time. Today, Jesus is talking to us about perishable versus imperishable. Most of the things we experience through our physical senses are perishable, meaning they have a limited time of existence. This … Continue reading Sunday readings in brief 18 B
Sunday readings in brief 17 B
1 Kings 4:42-44; Psalms 145; Ephesians 4:1-6; John 6:1-15 Divine Providence Dear friends, today is the 17th Sunday of Ordinary Time year B. The theme I have chosen for today’s reflection is “Divine Providence”. To provide is to make available what is necessary. The first reading and the Gospel talks about the bread that god … Continue reading Sunday readings in brief 17 B
