JUMAPILI YA 14 MWAKA C na Fr. Lawrence Muthee, SVD

‘go’     Tumsifu Yesu Kristu. Leo ni Jumapili ya 14 ya Mwaka C. Masomo ya leo yanatuhimiza kuweka imani na matumaini yetu kwa Mungu kama msingi wa maisha mema. Katika Somo la Kwanza, nabii Isaya anawapa moyo Waisraeli kwamba Mungu angewarejesha katika hali ya ufanisi waliokuwa nayo kabla ya uhamisho Babeli. Anamlinganisha Mungu na mama anayemtunza mwanawe. Mji mkuu wa Israeli – Yerusalemu ulikuwa umesalia majibu tu baada ya kuharibiwa mwaka wa 586 KK na Wababilonia chini ya mfalme Nebukadineza. Isaya anawaambia Waisraeli kwamba Mungu hajawaacha hata kama ilionekana hivyo katika taabu zao. Taabu na matatizo ya Waisraeli yalitokana … Continue reading JUMAPILI YA 14 MWAKA C na Fr. Lawrence Muthee, SVD