Watakatifu ni watu ambao waliishi maisha yao kwa kutenda matendo ya kawaida kwa njia isiyo ya kawaida. Maisha yao na mafunzo yao yanavutia wengine kuiga mwenendo wao. Watakatifu wana uhusiano wa karibu sana na wafia dini, ambao ni watu waliotoa maisha yao hadi kufa kwa ajili ya kutetea Imani katika Dini zao. Hawa hujitolea kuteseka … Continue reading Mwenyeheri Gregorius Frackowiak, SVD.
