4th Sunday Ordinary Time Year C

Reading I: Jeremiah 1:4-5, 17-19; Responsorial Psalm: 71:1-2, 3-4, 5-6, 15-17; Reading II: 1 Corinthians 12:31-13:13 or 13:4-13; Gospel: Luke 4:21-30 My dear friends in Christ, the first reading from the book of the Prophet Jeremiah, talks about the fear Jeremiah had to take up the prophet mission. This is because he had experience the hard hardheartedness of the people. He feared that they might not listen to him. God tells him that he had prepared him for that mission since he was in his mother’s womb. God would fight for him so that he may carry out his mission. The … Continue reading 4th Sunday Ordinary Time Year C

JUMAPILI YA 4 MWAKA C

  Somo I: Jeremia 1:4-5, 17-19;  Wimbo wa Katikati:   Zaburi 71:1-2, 3-4, 5-6, 15-17; Somo 2: Wakorintho 12:31-13:13 or 13:4-13;  Injili: Luka 4:21-30 Upendo wa Kweli ni upi? Tumsifu Yesu Kristo. Katika Somo la Kwanza kutoka kitabu cha Nabii Yeremia 1:4-5,17-19, tunasikia jinsi Yeremia aliogopa kupokea kazi ya unabii kwa sababu alijua ugumu wa mioyo ya watu wa wakati wake. Mungu anamwambia kwamba alimuandaa kwa ajili hiyo tangu tumboni mwa mama yake. Atampigania ili asishindwe katika wito wake. Wito wa Yeremia ni mfano wa wito wetu sisi wote tuliobatizwa katika Kristo. Kwanza tumeitwa kama wanadamu viumbe walio juu zaidi ya viumbe … Continue reading JUMAPILI YA 4 MWAKA C