Masomo ya Jumapili kwa Kifupi 15 B

Amosi 7:12-15; Zaburi 85; Waefeso 1:3-14; Marko 6:7-13 Umeitwa, Ukachaguliwa, na Kutumwa Wapendwa, leo ni Jumapili ya 15 katika kipindi wa kawaida. Baada ya Yesu kukusanya wafuasi kadhaa, aliwachagua baadhi yao kushiriki katika utume wake. Kila Mkristo ameitwa, amechaguliwa, na ametumwa kushiriki katika utume huu popote alipo. Tulipokea wito huu tulipobatizwa, kuoa au kuolewa, katika … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi 15 B