Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Shereh ya Kupaa kwa Bwana B

Matendo ya Mitume 1:1-11; Zaburi 47; Waefeso 4:1-13; Marko 16:15-20 Hubiri kwa viumbe vyote! Wapendwa, leo ni Siku Kuu ya Kupaa kwa Bwana wetu mbinguni. Siku kuu hii husherehekewa siku ya arobaini baada ya ufufuko ambayo uangukia Alhamisi kabla ya Jumapili ya saba ya Pasaka. Katika baadhi ya nchi, siku kuu hii huadhimishwa Alhamisi yenyewe. … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Shereh ya Kupaa kwa Bwana B

Sunday Readings in Brief: Ascension B

Acts 1:1-11; Ps 47; Eph 4:1-13; Mk 16:15-20 Preach to all Creation! Dear friends, today is the feast of the ascension of our Lord. This feast is marked on the fortieth day after the resurrection which falls on the Thursday before the seventh Sunday of Easter. In some countries, this feast is celebrated on Thursday itself. However, given the significance of the … Continue reading Sunday Readings in Brief: Ascension B

Masomo ya Jumapili kwa ufupi Pasaka 6 B

Matendo ya Mitume 10:25-48; Zaburi 98; 1 Yohana 4:7-10; Yohana 15:9-17 Lugha Ambayo Kila Mtu Uelewa ni Upendo Wapendwa, leo ni Jumapili ya sita ya Pasaka na Jumapili ijayo itakuwa sherehe ya Kupaa kwa Bwana wetu. Hivi karibuni kipindi cha Pasaka kitamalizika. Natumaini kwamba umepata faida ya kutosha kutoka kwa kipindi hiki cha liturujia. Katika … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa ufupi Pasaka 6 B