Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Utatu Mtakatifu B

Kumbukumbu la Torati 4:32-34, 39-40; Zaburi 33; Warumi 8:14-17; Mathayo 28:16-20 Udhihirisho wa Utatu Mtakatifu Wapendwa, leo ni Sikukuu ya Utatu Mtakatifu, ambayo hufanyika Jumapili baada ya Pentekoste. Jumapili ijayo itakuwa sikukuu ya Corpus Christi (Mwili na Damu ya Kristo). Neno Utatu kutoka kwa Kilatini "Trinitas" linamaanisha tatu. Kama Wakristo, kupitia ufunuo katika Maandiko Matakatifu, … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Utatu Mtakatifu B

Sunday readings in brief: Feat of the Holy Trinity B

Deut 4:32-34, 39-40; Ps 33; Rom 8:14-17; Mt 28:16-20 The Manifestation of Triune God Dear friends, today is the Feast of the Holy Trinity, which occurs on the Sunday after the Pentecost. Next Sunday will be the feast of the Corpus Christi (Body and Blood of Christ). Trinity from the Latin word “Trinitas” means threefold.  … Continue reading Sunday readings in brief: Feat of the Holy Trinity B

Sunday readings in brief: Pentecost Year B

Acts 2:1-11; Ps 104; Gal 5:16-25; Jn 15:16-27, 16:12-15 The Holy Spirit oplus_2 Dear friends, today is the Feast of Pentecost. “Pentecost” is a Greek term that means “fiftieth”. Pentecost is, therefore, the fiftieth and final day of the Easter Season. On this feast, Christians celebrate the coming of the Holy Spirit upon the disciples … Continue reading Sunday readings in brief: Pentecost Year B

Masomo ya Jumapili kwa Kifupi, Pentekoste B

Matendo 2:1-11; Zaburi 104; Wagalatia 5:16-25; Yohana 15:16-27, 16:12-15 Roho Mtakatifu ni Nani? oplus_2 Wapendwa, leo ni Sikukuu ya Pentekoste. "Pentekoste" ni neno la Kigiriki linalomaanisha "hamsini." Kwa hiyo, Pentekoste ni siku ya hamsini na ya mwisho ya Kipindi cha Pasaka. Katika sikukuu hii, Wakristo huadhimisha Ujio wa Roho Mtakatifu juu ya wanafunzi wa Yesu … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi, Pentekoste B