Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Kwaresma 3 B

Mikongojo Kutoka 20:1-17; Zaburi 18(19); 1 Wakorintho 1:22-25; Yohana 2:13-25 Maneno Kumi ya Uhai Wapendwa, leo ni Jumapili ya Tatu ya Kwaresima. Tunazo wiki tatu zaidi kumaliza mazingatio ya Kwaresima na kusherehekea Pasaka. Je! Umewahi kutumia mkongojo au fimbo ya kutembelea au kuona mtu akitumia? Mkongojo hutumiwa na wale ambao kwa sababu fulani kwa miguu … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Kwaresma 3 B