JUMAPILI YA 3 MWAKA C Maana ya Sheria

Sheria katika jamii ina kazi nyingi. Nne kati ya hizi ni muhimu sana. Kuweka vipimo (Establishing Standards) Kudumisha mpangilio na taratibu (Maintaining order) Kutatua migogoro (Resolving disputes) Kulinda haki na uhuru (Protecting liberties and rights). Kila mtu akishika sheria, jamii itakuwa na amani na maendeleo. Watu wakikiuka sheria lazima kutakuwa na mafarakano na shida nyingi. … Continue reading JUMAPILI YA 3 MWAKA C Maana ya Sheria