Sala kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa 18 wa Shirika la Neno la Mungu

Sala kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa 18 wa Shirika la Neno la Mungu Ee Mungu Utatu Mtakatifu, Baba, Mwana na Roho, tunakushukuru kwa zawadi ya Shirika la Neno la Mungu na ya wito wetu wa kimisionari. Tunnakutuza kwa ajili ya Moyo Safi wa Mwanao Yesu, chemichemi ya huruma na neema. Wakati sisi Wamisionari wa … Continue reading Sala kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa 18 wa Shirika la Neno la Mungu