Siku ya Kuwaombea Marehemu wote Hekima 3:1-9; Zaburi 22 (23); Warumi 5:5-11; Marko 15:33-39,16:1-6 "Tunakufa ili tuishi” Wapendwa, leo ndiyo siku tunayokumbuka na kuombea roho zilizotangulia mbele za haki. Rangi za liturujia leo ni Zambarau na nyeusi. Zambarau ni ishara ya toba, na nyeusi ni ishara ya maombolezo. Kifo ni ishara kubwa ya kukinzana … Continue reading Siku ya Kuwaombea Marehemu Wote
All Souls Day
Readings in brief All Souls Day Wis 3:1-9; Ps 22 (23); Rm 5:5-11; Mk 15:33-39,16:1-6 We die to live Dear friends, today is the day when we remember and pray for the departed souls. The liturgical colours today are Violet and black. Violet is the symbol of penance, and black is the symbol of mourning. … Continue reading All Souls Day
Kwa nini ni lazima Kupenda?
Masomo ya Jumapili kwa kifupi 30 A Kutoka 22:20-26; Zaburi 17(18); 1 Wathesalonike 1:5-10; Mathayo 22:34-40 Kwa nini ni lazima Kupenda? Wapendwa, leo ni Jumapili ya 30 ya kipindi wa Kawaida cha mwaka. bado wiki nne zaidi kabla ya kumaliza mwaka huu wa liturujia A. Masomo ya leo yanatukumbusha kuhusu amri za Mungu na kwa … Continue reading Kwa nini ni lazima Kupenda?
“THE CHRISTIAN LOVE”
THE DIVINE WORD BASED ON CATHOLIC LITURGICAL READINGS 30TH SUNDAY IN ORDINARY TIME, YEAR A THEME: “THE CHRISTIAN LOVE” ((Readings: 1st: Ex 22:20-26; Ps:18; 2nd: 1 Thes 1:5c-10; Gos: Mt 22:34-40)) Today being the thirtieth Sunday in ordinary time, our mother church reminds us of the most important theological virtue called love. “Three things will last forever; faith, … Continue reading “THE CHRISTIAN LOVE”
Why should I love?
Sunday Readings in Brief: 30 A Exodus 22:20-26; Psalms 17(18); 1 Thessalonians 1:5-10; Mathew 22:34-40 Why should I love? Dear friends, today is the 30th Sunday of the Ordinary Time. We have 4 more weeks to end this liturgical year A. Today the readings are reminding us about God’s commandments and why it is wise … Continue reading Why should I love?
