Masomo ya Jumapili kwa kifupi: Maajilio 3 B

Masomo ya Jumapili kwa kifupi: Maajilio 3 B Isaya 61:1-2.10-11; Zaburi-Luka 1; 1 Wathesalonike 5:15-24; Yohana 1:6-8.19-28 Furaha ya Kweli Wapendwa, leo ni Jumapili ya tatu ya Maajilio na nada yetu "Furaha." Leo tunawasha mshumaa wa tatu wa rangi ya waridi kwenye taji la majilio, ishara ya furaha kwa sababu Krismasi inakaribia. Mtume Paulo katika … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa kifupi: Maajilio 3 B