Masomo ua Jumapili kwa kifupi: Sherehe ya Maria Mama wa Mungu

Hesabu 6:22-27; Zaburi 66(67); Wagalatia 4:4-7; Luke 2:16-21 Lazima ingekuwa hivyo Wapendwa, leo ni tarehe 1 Januari, na sikukuu ya Maria, Mama Mtakatifu wa Mungu. Katika karne za mwanzo baada ya kufufuka kwa Yesu, mambo ya imani hayakuwa na utaratibu kama ilivyo leo. Hakukuwa na mengi yaliyoandikwa kuhusu maudhui kuu ya imani ya Kikristo isipokuwa … Continue reading Masomo ua Jumapili kwa kifupi: Sherehe ya Maria Mama wa Mungu

Sunday readings in brief: Mary, The Holy Mother of God

Numbers 6:22-27; Psalms 66(67); Galatians 4:4-7; Luke 2:16-21 The logical Conclusion Dear friends, today is the 1st of January, and the feast of Mary, Holy Mother of God. During the first centuries after the resurrection of Jesus, faith matters were not organized in the way they are today. Not much was written about the main … Continue reading Sunday readings in brief: Mary, The Holy Mother of God

Masomo ya jumapili kwa kifupi: Familia Takatifu

Masomo ya jumapili kwa kifupi: Familia Takatifu Mwanzo 15:1-6,21:1-3; Zaburi 105; Waebrania 11:8,11-12. 17019; Luka 2:22-40 Familia: Msingi wa Jamii Wapendwa, leo ni sikukuu ya Familia Takatifu ya Yesu, Maria na Yosefu. Hii ni familia ambayo ni mfano bora kwa familia zote za Kikristo. Kila mwanafamilia alitimiza majukumu aliyopewa na Mungu kwa uaminifu ili kufikia … Continue reading Masomo ya jumapili kwa kifupi: Familia Takatifu