Ezekieli 17:22-24; Zaburi 92; 2 Wakorintho 5:6-10; Marko 4:26-34 Siri ya Ufalme wa Mungu Wapendwa, leo ni Jumapili ya 11 katika Kipindi cha Kawaida cha Mwaka B. Kipindi cha Kawaida ni wakati wa kujifunza kutoka kwa Bwana wetu Yesu kuhusu tunu za Ufalme wa Mungu. Kwa takriban miaka mitatu, Yesu alihubiri ufalme wa Mungu duniani … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa ufupi: 11 B
Sunday readings in brief: 11 B
Ezekiel 17:22-24; Psalms 92; 2 Corinthians 5:6-10; Mark 4:26-34 The Mystery of the Kingdom Dear friends, today is the 11th Sunday in Ordinary Time year B. The Ordinary Time is a period to learn from our Lord Jesus about the values of the Kingdom of God. For about three years, Jesus preached the kingdom of … Continue reading Sunday readings in brief: 11 B
Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: 10 B
Mwanzo 3:9-15; Zaburi 129(130); 2 Wakorintho 4:13-5:1; Marko 3:20-35 Kuanguka na Ukombozi Ndugu wapendwa, leo ni Jumapili ya 10 katika Kipindi cha Kawaida. Hata hivyo, katika nchi zingine, leo sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu ambayo ilikuwa Ijumaa inaadhimishwa. Kabla ya kutafakari juu ya masomo ya leo, hebu tuseme kidogo kuhusu sherehe ya Moyo Mtakatifu … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: 10 B
Sunday readings in brief: 10 Ordinary B
Genesis 3:9-15; Psalms 129(130); 2 Corinthians 4:13-5:1; Mark 3:20-35 The Fall and the Redemption Dear friends, today is the 10th Sunday of the Ordinary Season. However, in some countries, the feast of the Sacred Heart of Jesus, celebrated last Friday, is marked today. Before we reflect on today's reading proper, let us say something little … Continue reading Sunday readings in brief: 10 Ordinary B
Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Utatu Mtakatifu B
Kumbukumbu la Torati 4:32-34, 39-40; Zaburi 33; Warumi 8:14-17; Mathayo 28:16-20 Udhihirisho wa Utatu Mtakatifu Wapendwa, leo ni Sikukuu ya Utatu Mtakatifu, ambayo hufanyika Jumapili baada ya Pentekoste. Jumapili ijayo itakuwa sikukuu ya Corpus Christi (Mwili na Damu ya Kristo). Neno Utatu kutoka kwa Kilatini "Trinitas" linamaanisha tatu. Kama Wakristo, kupitia ufunuo katika Maandiko Matakatifu, … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Utatu Mtakatifu B
