Masomo ya Dominika kwa Ufupi: Dominika ya 19 ya Mwaka C

Hekima 18:6-9; Zaburi 32(33); Waebrania 11:1-2, 8-19; Luka 12:32-48 Ukweli Usioonekana Wapendwa, leo ni Dominika ya kumi na tisa ya mwaka wa kawaida. Masomo ya leo yanatualika kutafakari juu ya uhakika wa mambo tunayoyaamini. Jumapili iliyopita tulitafakari jinsi ubinafsi ulivyoingia katika jamii yetu, na ni wachache sana wanaojitoa kwa ajili ya manufaa ya wote bila … Continue reading Masomo ya Dominika kwa Ufupi: Dominika ya 19 ya Mwaka C