Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Tokeo la Bwana

Isaya 60:1-6; Zaburi (71)72; Waefeso 3:2-3.5-6; Mathayo 2:1-12 Mungu anajidhihirisha kwa watu wote Wapendwa, Leo ni sikukuu ya Tokeo la Bwana. Ufunuo maana yake ni kujidhihirisha. Mungu aliamua kujidhihirisha kwetu kupitia Mwana wake Bwana wetu Yesu Kristo ili aturejeshe kwake, kurejesha taswira na mfano wa awali tulioupoteza kwa dhambi. Ufunuo wa kwanza wa Yesu ulikuwa … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Tokeo la Bwana

THE HOLY FAMILY OF JESUS, MARY & JOSEPH

ILIZWI REFLECTIONSSunday 31 December 2023***THE HOLY FAMILY OF JESUS, MARY & JOSEPH1 Samuel 1:20-22.24-28Psalm 84:2-3.5-6.9-111 John 3:1-2.21-24Luke 2:41-52 WE ARE A BIG FAMILY“The shepherds went in haste, and found Mary and Joseph and the infant lying in a manger” – Lk 2:16 Celebrating the feast of the Holy Family just after Christmas puts the birth … Continue reading THE HOLY FAMILY OF JESUS, MARY & JOSEPH

Masomo ua Jumapili kwa kifupi: Sherehe ya Maria Mama wa Mungu

Hesabu 6:22-27; Zaburi 66(67); Wagalatia 4:4-7; Luke 2:16-21 Lazima ingekuwa hivyo Wapendwa, leo ni tarehe 1 Januari, na sikukuu ya Maria, Mama Mtakatifu wa Mungu. Katika karne za mwanzo baada ya kufufuka kwa Yesu, mambo ya imani hayakuwa na utaratibu kama ilivyo leo. Hakukuwa na mengi yaliyoandikwa kuhusu maudhui kuu ya imani ya Kikristo isipokuwa … Continue reading Masomo ua Jumapili kwa kifupi: Sherehe ya Maria Mama wa Mungu