Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Dominika ya 2 ya Pasaka B

Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Dominika ya 2 ya Pasaka B Matendo 4:32-35; Zaburi 117(118); 1 Yohana 5:1-6; Yohana 20:19-31 Ushahidi wa ufufuko wa Yesu Wapendwa, leo ni Jumapili ya pili ya Pasaka. Kalenda ya liturujia hutupa siku 50 za kusherehekea fumbo la Pasaka ambalo hufikia kilele chake katika sherehe ya Pentekoste. Ni muhimu kutafakari … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Dominika ya 2 ya Pasaka B

Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Mkesha wa Pasaka & Jumapili ya Pasaka

Mkesha Mwanzo 1:2-2; Mwanzo 22:1-18; Kutoka 14:15-15:1; Isaya 54:5-14; Isaya 55:1-11; Baruku 3:9-15, 32C4:4; Ezekieli 36:16-17, 18-28; Warumi 6:3-11); Mathayo 28:1-10 Upendo wa Mungu Umefunuliwa Wapendwa, Katika Mkesha wa Pasaka, tunasherehekea usiku muhimu zaidi katika maisha yetu ya Kikristo. Ni usiku ambao hatima ya ulimwengu ilirejeshwa katika njia sahihi baada ya kuanguka kwa binadamu wa … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Mkesha wa Pasaka & Jumapili ya Pasaka