Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: 10 B

Mwanzo 3:9-15; Zaburi 129(130); 2 Wakorintho 4:13-5:1; Marko 3:20-35 Kuanguka na Ukombozi Ndugu wapendwa, leo ni Jumapili ya 10 katika Kipindi cha Kawaida. Hata hivyo, katika nchi zingine, leo sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu ambayo ilikuwa Ijumaa inaadhimishwa. Kabla ya kutafakari juu ya masomo ya leo, hebu tuseme kidogo kuhusu sherehe ya Moyo Mtakatifu … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: 10 B

Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Utatu Mtakatifu B

Kumbukumbu la Torati 4:32-34, 39-40; Zaburi 33; Warumi 8:14-17; Mathayo 28:16-20 Udhihirisho wa Utatu Mtakatifu Wapendwa, leo ni Sikukuu ya Utatu Mtakatifu, ambayo hufanyika Jumapili baada ya Pentekoste. Jumapili ijayo itakuwa sikukuu ya Corpus Christi (Mwili na Damu ya Kristo). Neno Utatu kutoka kwa Kilatini "Trinitas" linamaanisha tatu. Kama Wakristo, kupitia ufunuo katika Maandiko Matakatifu, … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Utatu Mtakatifu B

Sunday readings in brief: Feat of the Holy Trinity B

Deut 4:32-34, 39-40; Ps 33; Rom 8:14-17; Mt 28:16-20 The Manifestation of Triune God Dear friends, today is the Feast of the Holy Trinity, which occurs on the Sunday after the Pentecost. Next Sunday will be the feast of the Corpus Christi (Body and Blood of Christ). Trinity from the Latin word “Trinitas” means threefold.  … Continue reading Sunday readings in brief: Feat of the Holy Trinity B