Mission Mobility Fr. Lawrence Muthee, SVD

Catechists receiving motorcycles in 2020 Before I talk about mission mobility, I would like to give a background reflection on our mission in Simanjiro as a Special Apostolate. Simanjiro SVD Mission is unique in many aspects. We consider it a special apostolate because there are many unique considerations required to work here. Specialized ministry technically … Continue reading Mission Mobility Fr. Lawrence Muthee, SVD

Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: 12 B

Ayubu 38:1.8-11; Zaburi 107; 2 Wakorintho 5:14-17; Marko 4:35-41 Kwa nini unaogopa? Wapendwa, leo ni Jumapili ya 12 ya Kipindi cha Kawaida mwaka B. Katika somo la leo, Yesu anatufundisha mambo ya ufalme wa Mungu kupitia mafundisho na ishara zake. Kuna hadithi inayosimuliwa kuhusu mkristo mmoja aliyemwalika Yesu aambatane naye katika safari. Hivyo, waliondoka pamoja … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: 12 B