Tatizo Lililofichika na Fr. Lawrence Muthee, SVD

Je, umewahi kughadhabika au kukatishwa tamaa na huduma katika ofisi za umma? Hili linaweza kuwa kutokana na ucheleweshaji usioelezeka, mifumo taratibu au inayokwama mara kwa mara, maafisa kutokuwepo, au nyaraka kupotea, miongoni mwa mambo mengine. Katika baadhi ya ofisi, watu husubiri kwa saa nyingi, na hata siku kadhaa, ili kuwasilisha nyaraka za maombi tu. Baada … Continue reading Tatizo Lililofichika na Fr. Lawrence Muthee, SVD