Hekima 1:13-15, 2:23-24; Zaburi 30, 2 Cor 8:7.9.13-15; Marko 5:21-43 Kwa Nini Kuamini oppo_0 Wapendwa, leo ni Jumapili ya 13 ya Kipindi cha Mwaka wa Kanisa. Kabla ya kutafakari kuhusu masomo ya leo, ningependa tujitafakari kuhusu kwa nini tunamwamini Mungu. Wengi wetu tulipokea imani kutoka kwa wazazi wetu na jamii tulizokulia. Baada ya kuwa na … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi 13 B
Month: June 2024
Sunday readings in Brief 13 B
Wis 1:13-15, 2:23-24; Ps 30, 2 Cor 8:7.9.13-15; Mk 5:21-43 Why Believe oppo_0 Dear Friends, today is the 13th Sunday in Ordinary time. Before we reflect on what the readings tell us today, I would like us to reflect on why we believe or do not believe in God. Many of us received the faith … Continue reading Sunday readings in Brief 13 B
Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: 12 B
Ayubu 38:1.8-11; Zaburi 107; 2 Wakorintho 5:14-17; Marko 4:35-41 Kwa nini unaogopa? Wapendwa, leo ni Jumapili ya 12 ya Kipindi cha Kawaida mwaka B. Katika somo la leo, Yesu anatufundisha mambo ya ufalme wa Mungu kupitia mafundisho na ishara zake. Kuna hadithi inayosimuliwa kuhusu mkristo mmoja aliyemwalika Yesu aambatane naye katika safari. Hivyo, waliondoka pamoja … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: 12 B
Sunday Readings in Brief 12 B
Job 38:1.8-11; Psalms 107; 2 Corinthians 5:14-17; Mark 4:35-41 Why are you afraid? Dear friends, today is the 12th Sunday in Ordinary Time year B. In today’s lesson, Jesus is taking us through different aspects of the kingdom of God through his teachings and signs. There is a story told about a Christian man who … Continue reading Sunday Readings in Brief 12 B
June 2024 Bulletin
bulletin-0624Download
