Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Pasaka 5 B

Matendo 9:26-31; Zaburi 22; 1 Yohana 3:18-24; Yohana 15: 1-8Bila ya Kristo HatuweziWapendwa, leo ni Jumapili ya tano ya Pasaka. Tunazo wiki chache zaidi katika kipindi hiki ambacho ni kilele cha vipinfi vitano ya mwaka wa liturujia wa Kanisa. Kufikia sasa tayari tunajua mengi kuhusu ufufuo kutokana na masoma ya Jumapili na siku za wiki. … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Pasaka 5 B

Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: 4 Pasaka B

Matendo 4:8-12; Zaburi 118; 1 Yohana:1-2; Yohana 10:11-18 oppo_0 Mchungaji Mwema Wapendwa, leo ni Jumapili ya nne ya Pasaka, ambayo pia inajulikana kama Jumapili ya Mchungaji Mwema au Miito. Kanisa leo linasherehekea miito ya upadri, maisha ya Kitawa, na maisha ya Ndoa. Leo msisitizo upo katika kuhamasisha miito ya upadri na maisha ya kitawa kwa … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: 4 Pasaka B