Masomo ya Misa kwa kifupi: Jumatano ya Majivu

Joeli 2:12-18; Zaburi 51; 2 Wakorintho 5:20-6:2; Mathayo 6:1-6.16-18 Wapendwa, leo tunaanza kipindi cha Kwaresma, kipindi cha kipekee kwa Wakristo. Jumatano ya Majivu ni mojawapo ya siku za lazima kwa kila Mkatoliki kwenda Kanisani kupokea majivu kichwani kama ishara ya kuanza siku 40 za sala, kufunga, toba, na kutoa sadaka. Pia ni siku ya lazima … Continue reading Masomo ya Misa kwa kifupi: Jumatano ya Majivu

Masomo ya Jumapili kwa Kifupi 6 B

Walawi 13:1-2.44-46; Zaburi 31(32); 1 Wakorintho 10:31-11:1; Marko 1:40-45 oppo_0 "Kurejesha" Wapendwa, leo ni Jumapili ya sita ya kipindi cha kawaida mwaka B. Sasa tunaacha kipindi hiki cha kujifunza na kuingia katika kipindi cha Kwaresma kuanzia Jumatano ijayo. Kwaresma ni kipindi cha kutafakari na kusali kuhusu gharama ya wokovu wetu ambayo Bwana wetu Yesu alifanya … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi 6 B

Sunday Readings in Brief 6 B

Leviticus 13:1-2.44-46; Psalms 31(32); 1 Corinthians 10:31-11:1; Mark 1:40-45 oppo_0 Restoration Dear friends, today is the sixth Sunday in Ordinary time year B. We are now going to suspend this learning period and enter into a more intense Lenten season beginning this Wednesday. Lent is a period of reflection and contemplation upon the cost of … Continue reading Sunday Readings in Brief 6 B