Masomo ya Jumapili kwa kifupi: Sherehe ya Kristu Mfalme Ezekiel 34:11-12,15-17; Psalms 22(23); 1 Corinthians 15:20-26,28; Mathew 25: 31-46 Mfalme ni nani? Wapendwa, leo ni Jumapili ya mwisho ya mwaka A wa liturujia ya Kanisa, na siku hii, tunasherehekea Sikukuu ya Kristo Mfalme. Jumapili ijayo itakuwa Jumapili ya kwanza ya Maajilio na mwanzo wa mwaka … Continue reading