Masomo ya Jumapili kwa kifupi: Sherehe ya Kristu Mfalme Ezekiel 34:11-12,15-17; Psalms 22(23); 1 Corinthians 15:20-26,28; Mathew 25: 31-46 Mfalme ni nani? Wapendwa, leo ni Jumapili ya mwisho ya mwaka A wa liturujia ya Kanisa, na siku hii, tunasherehekea Sikukuu ya Kristo Mfalme. Jumapili ijayo itakuwa Jumapili ya kwanza ya Maajilio na mwanzo wa mwaka … Continue reading

Thirty-Third Sunday in Ordinary Time

Sunday, November 19, 2023Thirty-Third Sunday in Ordinary TimeVestment: GreenToday’s Rosary: The Glorious Mystery(Proverbs 31:10-13. 19-20.30-31,1Thessalonians5:1-6,Matthew 25:14-30) TODAY’S REFLECTIONChristians are to be alert all the time and be ready for the coming of Christ. They are to diligently carry out their Christian duties just like the woman of valour described in Proverbs 31:10-31. The parable of … Continue reading Thirty-Third Sunday in Ordinary Time

Masomo ya Jumapili kwa kifupi 32 A

Hekima 6:12-16; Zaburi 63; 1 Wathesalonike 4:13-18; Mathayo 25:1-13 “Hekima katika Matumaini” "Siku moja nilipokuwa nikisafiri kwenda kwenye kituo kimoja hapa parokia, nilimuona kijana mmoja mbele yangu akitembea katika eneo ambalo hamna wakaaji. Kwa jinsi alivyokuwa akitembea, nilijua kwamba mfuko aliyokuwa akibeba ulikuwa mzito. Jua lilikuwa kali sana siku hiyo. Nilipokaribia, alinipungia mkono akiniomba msaada. … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa kifupi 32 A