Masomo ya Jumapili kwa kifupi 30 A Kutoka 22:20-26; Zaburi 17(18); 1 Wathesalonike 1:5-10; Mathayo 22:34-40 Kwa nini ni lazima Kupenda? Wapendwa, leo ni Jumapili ya 30 ya kipindi wa Kawaida cha mwaka. bado wiki nne zaidi kabla ya kumaliza mwaka huu wa liturujia A. Masomo ya leo yanatukumbusha kuhusu amri za Mungu na kwa … Continue reading Kwa nini ni lazima Kupenda?
Month: October 2023
“THE CHRISTIAN LOVE”
THE DIVINE WORD BASED ON CATHOLIC LITURGICAL READINGS 30TH SUNDAY IN ORDINARY TIME, YEAR A THEME: “THE CHRISTIAN LOVE” ((Readings: 1st: Ex 22:20-26; Ps:18; 2nd: 1 Thes 1:5c-10; Gos: Mt 22:34-40)) Today being the thirtieth Sunday in ordinary time, our mother church reminds us of the most important theological virtue called love. “Three things will last forever; faith, … Continue reading “THE CHRISTIAN LOVE”
Why should I love?
Sunday Readings in Brief: 30 A Exodus 22:20-26; Psalms 17(18); 1 Thessalonians 1:5-10; Mathew 22:34-40 Why should I love? Dear friends, today is the 30th Sunday of the Ordinary Time. We have 4 more weeks to end this liturgical year A. Today the readings are reminding us about God’s commandments and why it is wise … Continue reading Why should I love?
Utume wangu ni upi?
Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: 29 A Dominika ya Misioni Duniani Isaya 45:1.4-6; Zaburi 96; 1 Wathesalonike 1:1-5; Mathayo 22:15-21 Utume wangu ni upi? "Ndugu wapendwa, leo ni Jumapili ya 29 katika kipindi cha kawaida, na ni Dominika ya Misión au Utume ulimwenguni. Kamusi ya Kiingereza inafafanua Misoni au Utume kama 'kazi maalum inayopewa mtu … Continue reading Utume wangu ni upi?
What is my mission?
Sunday readings in brief: Mission Sunday (29th Sunday Year A) Is 45:1.4-6; Ps 96; 1 Thes 1:1-5; Mt 22:15-21 “What is my mission?” Dear friends, today is the 29th Sunday in Ordinary time, and the World Mission Sunday. The English Dictionary defines Mission as “a special assignment that is given to a person or a … Continue reading What is my mission?
