Masomo ya Jumapili kwa Kifupi Isaya 55:6-9; Zaburi 145; Wafilipi 1:20-24.27; Mathayo 20:1-6 Ukarimu dhidi ya Wivu Wapendwa, leo ni Jumapili ya 25 ya Kipindi cha Kawaida. Somo la kwanza leo linatuhimiza kumtafuta Bwana wakati angali anapatikana. Swali tunaloweza kujiuliza ni ikiwa itafika wakati ambapo Bwana hatakuwa hatapatikana. "Tafuteni Bwana, angali anapatikana." Binadamu ni viumbe … Continue reading “Ukarimu dhidi ya Wivu” Jumapili 25 A
