Unyenyekevu wa kweli na Uongofu.

Masomo ya Jumapili kwa Ufupi: 26 A Ezekieli 18:25-28; Zaburi 25; Wafilipi 2:1-11; Mathayo 21:28-32 Unyenyekevu wa kweli na Uongofu. Wapendwa, leo ni Jumapili ya 26 ya Wakati wa Kawaida. Kuna msemo unasema, "Usihukumu kitabu kwa jalada lake." Mara ngapi tunawatizama watu na kuwahukumu, kisha baadaye, tunapowajua vizuri, tuelewa kwamba hatukuwa sahihi kuwahusu? Yesu pia … Continue reading Unyenyekevu wa kweli na Uongofu.

OBEDIENCE

THE DIVINE WORDBASED ON CATHOLIC LITURGICAL READINGS26TH SUNDAY IN ORDINARY TIME, YEAR ATHEME: “OBEDIENCE”((Readings: 1st: Ezk 18:25-28 Ps:24; 2nd: Phil 2:1-11; Gos: Mt 21:28-32))Today being the 26th Sunday in ordinary time, our mother church is drawing our attention in a special way to the importance of obedience to God. Obedience is an ability to comply with an order, … Continue reading OBEDIENCE

“Ukarimu dhidi ya Wivu” Jumapili 25 A

Masomo ya Jumapili kwa Kifupi Isaya 55:6-9; Zaburi 145; Wafilipi 1:20-24.27; Mathayo 20:1-6 Ukarimu dhidi ya Wivu Wapendwa, leo ni Jumapili ya 25 ya Kipindi cha Kawaida. Somo la kwanza leo linatuhimiza kumtafuta Bwana wakati angali anapatikana. Swali tunaloweza kujiuliza ni ikiwa itafika wakati ambapo Bwana hatakuwa hatapatikana. "Tafuteni Bwana, angali anapatikana." Binadamu ni viumbe … Continue reading “Ukarimu dhidi ya Wivu” Jumapili 25 A