Wiki Kuu ni wiki ya sita ya kipindi cha kwaresma ambayo uanza Dominika ya Matawi hadi Jumamosi Kuu katika liturjia ya Kirumi. Jumapili ya Matawi – Tunaadhimisha siku ambayo Yesu aliingia Yerusalemu wazi na kama mfalme. Kabla ya siku hii, Yesu alienda Yerusalemu mara kwa mara kama wayahudi wengine hasa wakati wa Pasaka. Mara hii, … Continue reading MAANA WIKI KUU
