Masomo ya Jumapili kwa Kifupi 15 B

Amosi 7:12-15; Zaburi 85; Waefeso 1:3-14; Marko 6:7-13 Umeitwa, Ukachaguliwa, na Kutumwa Wapendwa, leo ni Jumapili ya 15 katika kipindi wa kawaida. Baada ya Yesu kukusanya wafuasi kadhaa, aliwachagua baadhi yao kushiriki katika utume wake. Kila Mkristo ameitwa, amechaguliwa, na ametumwa kushiriki katika utume huu popote alipo. Tulipokea wito huu tulipobatizwa, kuoa au kuolewa, katika … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi 15 B

SVD General Chapter

As the Divine Word Missionaries General Chapter, which is taking place in Nemi, comes towards its end, I present you with a quick glimpse of the deliberations that the capitulars have been putting into perspective for the last month.

Masomo ya Jumapili kwa kifupi 14 B

Ezekieli 2:2-5; Zaburi 123; 2 Wakorintho 12:7-10; Marko 6:1-6 KukataliwaJe, umewahi kukutana na kukataliwa au maishani mwako? Je, umewahi kufika mahali ambapo wakazi hawakukukaribisha? Hisia za kukataliwa zinaweza kuwa mbaya sana, hasa unapokataliwa bila kutarajia. Kuna sababu nyingi zinazowafanya watu kuwakataa wengine. Wakati mwingine tunakataliwa kwa sababu ya tabia au kauli zetu mbaya au tabia … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa kifupi 14 B