Wisdom 18:6-9; Psalms 32(33); Hebrews 11:1-2, 8-19; Luke 12:32-48The unseen realityDear friends, today is the nineteenth Sunday in Ordinary Time. The readings today invite us to reflect upon our convictions about the things we believe in. Last Sunday, we discussed how self-interest has infiltrated our society, and very few people work for the common good … Continue reading Sunday readings in brief: 19 C
Day: August 9, 2025
Masomo ya Dominika kwa Ufupi: Dominika ya 19 ya Mwaka C
Hekima 18:6-9; Zaburi 32(33); Waebrania 11:1-2, 8-19; Luka 12:32-48 Ukweli Usioonekana Wapendwa, leo ni Dominika ya kumi na tisa ya mwaka wa kawaida. Masomo ya leo yanatualika kutafakari juu ya uhakika wa mambo tunayoyaamini. Jumapili iliyopita tulitafakari jinsi ubinafsi ulivyoingia katika jamii yetu, na ni wachache sana wanaojitoa kwa ajili ya manufaa ya wote bila … Continue reading Masomo ya Dominika kwa Ufupi: Dominika ya 19 ya Mwaka C
