Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Dominika ya 2 ya Pasaka B

Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Dominika ya 2 ya Pasaka B Matendo 4:32-35; Zaburi 117(118); 1 Yohana 5:1-6; Yohana 20:19-31 Ushahidi wa ufufuko wa Yesu Wapendwa, leo ni Jumapili ya pili ya Pasaka. Kalenda ya liturujia hutupa siku 50 za kusherehekea fumbo la Pasaka ambalo hufikia kilele chake katika sherehe ya Pentekoste. Ni muhimu kutafakari … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Dominika ya 2 ya Pasaka B