Masomo ya Jumapili kwa kifupi: Kwaresma 5 B

Jeremia 31:31-34; Zaburi 51; Hebrania  5:7-9; Yohana 12:20-33 Kuvunjika na kufunguka Wapendwa, leo ni Jumapili ya tano katika kipindi hiki cha Kwaresima. Jumapili ijayo itakuwa Jumapili ya Matawi na mwanzo wa Wiki Takatifu. Tunakaribia kilele cha mfungo wetu Kwaresima. Tumefika mbali katika safari yetu ya kuandamana na Yesu katika njia yake kuelekea msalabani. Tunatamani kwenda … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa kifupi: Kwaresma 5 B