3RD SUNDAY IN ORDINARY TIME, YEAR B

THE DIVINE WORD BASED ON CATHOLIC LITURGICAL READINGS THEME: “HOW DO WE RESPOND TO OUR CALL AS CHRISTIANS?”                            ((Readings: 1st: Jonah 3:1-5,10; Ps 24; 2nd 1Cor 7:25-31; Gos Mk 1:14-20)) Last Sunday we highlighted different ways in which God calls us to have a closer relationship with him. Today our mother church wants us … Continue reading 3RD SUNDAY IN ORDINARY TIME, YEAR B

Masomo ya Jumapili kwa kifupi: Kawaida 2 B

Masomo ya Jumapili kwa kifupi 2 B 1 Samweli 3:3-10.19; Zaburi (39)40; 1 Wakorintho 6:13-15.17-20 Yohana 1:35-42 Wito Wangu Wapendwa, leo ni Jumapili ya pili katika kipindi kifupi cha Wakati wa Kawaida ambacho kitatangulia kipindi cha Kwaresima. Wakati wa Kawaida, masomo ya liturjia yanatuongoza kupitia historia ya wokovu. Leo tunajifunza kuhusu mwanzo wa utume za … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa kifupi: Kawaida 2 B

Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Tokeo la Bwana

Isaya 60:1-6; Zaburi (71)72; Waefeso 3:2-3.5-6; Mathayo 2:1-12 Mungu anajidhihirisha kwa watu wote Wapendwa, Leo ni sikukuu ya Tokeo la Bwana. Ufunuo maana yake ni kujidhihirisha. Mungu aliamua kujidhihirisha kwetu kupitia Mwana wake Bwana wetu Yesu Kristo ili aturejeshe kwake, kurejesha taswira na mfano wa awali tulioupoteza kwa dhambi. Ufunuo wa kwanza wa Yesu ulikuwa … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Tokeo la Bwana