Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Tokeo la Bwana

Isaya 60:1-6; Zaburi (71)72; Waefeso 3:2-3.5-6; Mathayo 2:1-12 Mungu anajidhihirisha kwa watu wote Wapendwa, Leo ni sikukuu ya Tokeo la Bwana. Ufunuo maana yake ni kujidhihirisha. Mungu aliamua kujidhihirisha kwetu kupitia Mwana wake Bwana wetu Yesu Kristo ili aturejeshe kwake, kurejesha taswira na mfano wa awali tulioupoteza kwa dhambi. Ufunuo wa kwanza wa Yesu ulikuwa … Continue reading Masomo ya Jumapili kwa Kifupi: Tokeo la Bwana